Hao watakwisha kama gwambina au singida united
Hizi timu za mchongo pesa, timu kazi kukopesha wachezaji ina maana wao hawana malengo?
Kocha akishindwa kufikia malengo yake wataweza kumuwajibisha kweli? Kama wachezaji wana waondoa wanavyo taka
Timu za mchongo hazina maisha, safari yao ni fupi sana...