Msemaji wa TFF Clifford ' Mario ' Ndimbo umekumbwa na nini Mwenzetu mbona Siku hizi una ' Maboko ' mengi ya Kiutendaji Kaka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Comrade ( Kamarada ) wangu Clifford Ndimbo umekumbwa na tatizo gani Siku hizi Kaka? Ulianza Kutupotosha kuhusu Timu ya Kagera Sugar Kushuka Daraja na ikawa siyo kwamba ulikosea tukaona labda ilikuwa ni bahati mbaya tu na kukusamehe ila cha Kushangaza hata Wiki haijaisha jana umetoa tena ' Boko ' lingine kwa kusema Beki wa Taifa Stars Shomary Kapombe ni ' Mgonjwa ' wakati mwenye kakanusha kuwa hauwmi na ni mzima wa Afya tu.

Vipi mmeshaanza ' Kurogana ' hapo TFF Kaka kwani nasikia hiyo ' Position ' yako inatakiwa na wengi sana? au unataka Kuanza Kuniaminisha kile nilichokisikia kuwa hapo TFF ulipo kuna Majungu na Fitna mno kiasi kwamba kama ' hutakiwi ' na Watu fulani basi kuna ' Zengwe ' utafanyiwa au ' utategeshewa ' jambo ili ' uchafuke ' kisha Watu ( Wasiokutaka ) wapate sababu ya Kukutoa / Kukuondoa.

Wewe ni Mtani wangu upande mwingine ukiwa Mngoni hivyo Mimi nakuomba omba ' Likizo ' urudi Kwenu Ruvuma ' ukapikwe ' upya ili ukirejea tena hapo Watu wasikuchezee hovyo na Wajue kuwa ' Wangoni ' nanyi kwa ' Ndumba ' mpo vizuri kama Sisi Watani zenu Wamakuwa na Wayao kutoka Mtwara na Lindi.

Nakupenda kwakuwa Wewe pia ni Mwana Simba Sports Club mwenzangu tena yule ' Kindakindaki ' kabisa.

Nawasilisha.
 
Kapombe ni mgonjwa sana huyoanaforce aende AFCON kwa nguvu wanasimba waliojaa TFF.
 
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia

Nahisi Mtani wangu wa Kingoni ( Ruvuma / Songea ) na mwana Simba SC Mwenzangu Clifford ' Mario ' Ndimbo hatakiwi hapo TFF. Wanampigisha sana na mno ' Shoti ' Kamarada ( Comrade ) wangu huyu na Mwandishi wa Habari za Michezo ' Mwandamizi ' kabisa nchini Tanzania.
 
Kapombe ni mgonjwa sana huyoanaforce aende AFCON kwa nguvu wanasimba waliojaa TFF.

Binafsi ni mwana Simba SC na huwa sipendi ' Unafiki ' au Kuzungusha mambo. Nilishangaa mno kusikia Kocha wa Taifa Stars Amunike amemuita ' Shomy ' Kundini wakati ' Logically ' tu kila Mtu ( Mwana Michezo ) anajua kuwa hana / hakuwa na ' Match Fitness ' ukilinganisha na Wenzake. Na ndiyo maana huwa nasema huyu Kocha wenu wa Taifa Stars si Kocha na hatufai kabisa ila baadhi yenu huwa hamnielewi.

Huu Usimba na Uyanga unaharibu na utaharibu sana Soka letu la Tanzania.
 
Captain Samatta anahusika na kuitwa Shomy Stars. . Nakumbuka hata zile milioni kumi akimpigia kifua sana
 
Kapombe hajapona vizuri,kuna vitu vipo wazi labda anataka aende AFCON,hata mara moja mechi zote hajawahi kuonekana amekaa kwenye benchi au jukwaani.

Back
Top Bottom