Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Manzozi naye kajibu nakuja Simba nitakuwa mfungaji bora NBC .
Wakuu wanasimba naona akija ni vizuri ila asipokuja pia poa haya mashindano ya nini,Simba na Manzoki wamepeleka malalamiko shirikisho la mpira Uganda kwamba Simba wa terminate mkataba $200,000 wakati mchezaji kabakiza mwezi moja na nusu ,Vipers nao wanaweka ngumu kufoji mkataba hadi 2025 kama wa Morison.
Kuna za chini pia Utopolo wamepenyeza hela kwa chini vipers kwamba majamaa wagome contract termination Simba walipe $200,000 kwa miezi miwili iliyobaki halafu wao baada ya mkataba wa mchezaji kuisha watasema Asante kwa club,na watamchukua kwa dirisha ndogo
Naona Simba wamwache tu wameshachemka