ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Inatia huruma Sana Na Inauma Sanaa Kuona Msemaji wa Club kubwa ya Wananchi anafungiwa Kwa miaka 3 kwasababu Ya Maadili.
Inauma Kwasababu anashindwa Kulipa Tsh Millioni Tano
Hii inaonesha Umaskini Wa Hali ya Juu kwa Wafanyakazi wa hivi Vilabu na Timu zao.
Timu ya Wananchi Sio Ya Kushindwa Kulipa milioni 5 unless Walikuwa Hawamtakii Jamaa Na Walikuwa wanatafuta Namna Ya Kumuondoa
Pole Sana Bumbuli kwa Kusalitiwa na Timu Yako
Kweli Kubishana Na Yanga Ni Kupoteza Muda.