Msemaji wa Yanga afungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu kwa miaka 3

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665

Inatia huruma Sana Na Inauma Sanaa Kuona Msemaji wa Club kubwa ya Wananchi anafungiwa Kwa miaka 3 kwasababu Ya Maadili.

Inauma Kwasababu anashindwa Kulipa Tsh Millioni Tano

Hii inaonesha Umaskini Wa Hali ya Juu kwa Wafanyakazi wa hivi Vilabu na Timu zao.

Timu ya Wananchi Sio Ya Kushindwa Kulipa milioni 5 unless Walikuwa Hawamtakii Jamaa Na Walikuwa wanatafuta Namna Ya Kumuondoa

Pole Sana Bumbuli kwa Kusalitiwa na Timu Yako

Kweli Kubishana Na Yanga Ni Kupoteza Muda.
 
Daah yaani anakosa million 5 kama faini kweli Yanga wana ukata wa Hali ya juu sna
 
m5 tff wanahesabu hiyo kama sehemu yao ya kupata mapato wapumbavu.
 
Soka LA bongo Kuna, mchezo mchezo unachzwa hapo tff n wapgaj wakubwa
Maku Hawa, huyo jamaa n kua tff hawakua wanamtaka walikua wanatafta tu kes ndo wamuekee,,,, Maana yanga wanasema pesa walimpa Hasan akaenda kulipa
Full iweje jamaa afungiwe

Huku n kudhalilisha club
 
Wewe unaamini vipi Kama kweli yanga walimpa pesa?

Tatizo lake hakulipa pesa wala kukata rufaa ya uamuzi wa tff. Na adhabu wametoa kulingana na sheria, mbona sisi haji kesho yake tu alienda kulipa. Yanga hamkumlipia mapema kwa sababu mlikuwa mnatafuta sababu ya kumuacha mbaki na nugaz tu

Let's wait, na tuone bumbuli ata react vipi na hicho ndicho kitafunua ukweli
 
Mpunga GSM wamemlipia nahisi kuna issue nyingine kazingua nmeiona risiti ya benki huko mtandaon ikionyesha kalipiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…