Msemaji wa Yanga H. Bumbuli amporomoshea matusi Msemaji wa Simba H.Manara!

Kwani Haji siyo zeluzelu? Kwani tukisema kocha wa yanga na simba ni wazungu tumewakashifu? Hata mkimtetea vipi atabaki kuwa zeluzelu milele
Hivi ni zeruzeru au zeluzelu? N ways vyovyote vile jamaa ni hivyohivyo!
 
Wekeni na maneno ya Manara yaliyomfanya Bumbuli atamke maneno hayo
 
Mwenye Uzi kaukimbia Uzi, hakutegemea hizi responses [emoji23]
 
Linapokuja swala la simb na yanga, profesa, dokta(PHD),Mwenye digrii, diploma, cheti, form 6, form 4, la saba, la nne, na ambaye hajaenda shule wote huwa na akili moja. Kinachowatofaitisha Ni uwezo wa kuongea tu.
 
Hivi, tujiulize matusi si alitukanwa Manara !!! Sisi tumejuaje kama katukanwa?

Ni yeye mwenyewe kaamua kuudhihirishia umma kuwa katukanwa. Kwani angekaa kimya bila kusambaza hayo matusi angepungukiwa nn?

Lengo lake ni kushtaki kwa umma kuwa anaonewa kwa kuwa yy ni mzungu. Dose aliyopewa inalingana na GONJWA ANALOUMWA.

BUMBULI NI DOKTA BINGWA WA MGONJWA SUGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…