Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kijana kazi imemshinda, nimeona mashabiki wa Yanga wanalaumiana kwenye mitandao kuwa hawaendi uwanjani, wanashindwa na ma Shabiki wa Simba, mmoja wa mashabiki hao anaitwa God Yanga, amelalamika sana kuwa licha ya timu yao kuwa nzuri lakini mashabiki wake wengi hawaendi uwanjani au wanasubiri dezo.
Huwa najiuliza sana yule msemaji wao kila cku kutukana na kuiongelea Simba akidhani anaishusha kumbe anaonekana yeye ndio bwege mtozeni.
Badilisheni idara hiyo huyu dogo Hana uwezo wa kujaza wala kuhamasisha mashabiki uwanjani.