Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe anavyosema kuwa Msimu huu Singida Black Stars FC wanajituma wenyewe na hawasaidiwi na Mtu kamaanisha nini labda?

Hapa Ally Kamwe anamaanisha Singida Balck Stars wanautaka ubigwa wa NBC League hivyo wanajituma wafikie lengo hilo kuna timu zinaponyeza na Yanga zinafuata siasa kuikomoa Yanga kwa sababu ya Simba au Azam lkaini Big stars wanautaka ubingwa sasa walikamia washinde na waumize wachezaji ili wafikie lengo lao !!!
 
Sasa kama yule bwana yuko kotekote ni pake lazima watu wawe na mashaka timu hizo mbili zinapokutana soka lake halieleweki
 
Sasa unaita magumashi akishinda Yanga tu ?? Lakini akishinda Simba hakuna magumashi ??? tuache hizo !!
 
Hapa Ally Kamwe anamaanisha Singida Balck Stars wanautaka ubigwa wa NBC League hivyo wanajituma wafikie lengo hilo kuna timu zinaponyeza na Yanga zinafuata siasa kuikomoa Yanga kwa sababu ya Simba au Azam lkaini Big stars wanautaka ubingwa sasa walikamia washinde na waumize wachezaji ili wafikie lengo lao !!!
Nimemsikiliza kocha msaidizi wa singida black stars fc, kathibitisha kwamba wanautaka ubingwa wa NBC premier league
 
Hapa Ally Kamwe anamaanisha Singida Balck Stars wanautaka ubigwa wa NBC League hivyo wanajituma wafikie lengo hilo kuna timu zinaponyeza na Yanga zinafuata siasa kuikomoa Yanga kwa sababu ya Simba au Azam lkaini Big stars wanautaka ubingwa sasa walikamia washinde na waumize wachezaji ili wafikie lengo lao !!!
Mawazo yako au ya Ally kamwe?
 
Yaani tangu tuwatie kimoja, ie(tukaliziba tundu) hawa wamama wanaoshiriki vicoba cup kule CAF wamekuwa na malalamiko kwa mumewe mpaka wanakera. ukijifungua tu tunatia nyingine.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣..m
 
Back
Top Bottom