Msemaji waasi wa Kihouthi Hezam al-Asad atamka kuwa "Moyo wa Mazayuni hauko Salama tena"

Msemaji waasi wa Kihouthi Hezam al-Asad atamka kuwa "Moyo wa Mazayuni hauko Salama tena"

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote.

Niwatakie sabato njema

December 21, 2024

Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has posted several mocking messages to X, some of them in Hebrew.

In one post in Hebrew, al-Asad writes: “The failure of all Israeli defense systems means that the heart of the Zionist enemy is no longer secure.”

Times of Israel
 
Iran mioyo Yao ipoje
Kipigo cha Muiran Waadi Sadaqi 3 karibu mtakiona nadhani kabla ya tarehe 5/1

Vichekesho vya Israel wambieni wanao fahamu kiarabu wawatafsirie, Al jazeera wanasema Israel hakuangusha hata Missile moja katika Missiles 8 za Yemen zile Hypersonic tena kichwa cha mlipuko ni kikubwa sana. Mwanza Israel walizua uwongo wameangusha missile ya Yemen ilipofika mwenye border yao. Bada ya ile missile kudhuru majumba yalio kusudiwa Israel wakakiri Irone dome yao imefailed.

View: https://youtu.be/Ta_tIVqGqMw?si=utu6aJ5gnY6AlRcI
 
Kipigo cha Muiran Waadi Sadaqi 3 karibu mtakiona nadhani kabla ya tarehe 5/1

Vichekesho vya Israel wambieni wanao fahamu kiarabu wawatafsirie, Al jazeera wanasema Israel hakuangusha hata Missile moja katika Missiles 8 za Yemen zile Hypersonic tena kichwa cha mlipuko ni kikubwa sana. Mwanza Israel walizua uwongo wameangusha missile ya Yemen ilipogika mwenye border yao. Bada ya ile missile kudhuru majumba yalio kusudiwa Israel wakakiri Irone dome yao imefailed.

View: https://youtu.be/Ta_tIVqGqMw?si=utu6aJ5gnY6AlRcI

Wenyewe wanadai shule yao imeharibiwa kabisa na magari mengi kuteketea kwa moto lakini hajafa hata mtu mmoja! Nadhani wanafunzi na wafanyakazi wa hiyo shule wote wapo likizo na hayo magari yote yalikuwa parking.
 
Tushawazoea lkn muimu bado wanatafuta waliofukiwa kwenye kifusi iyo ndio onyo imebidi USA na Uk waje uwanjani uku wenyewe uwogo umewajaa.
 
Uzuri Irael yeye ashaprove beyond Reasonable Doubt kwamba anajua namna ya Kudeal na hayo Magaidi, Yatakuja Magaidi Mengi na Kuondoka (Yataondolewa na Israel) ila Israel yeye atabaki Palee!
 
IRAN akili kubwa baada kuona kule Lebanon Israel inataka kuigeuza Lebanon iwe GAZA MuIran akamwambia Hezboollah ruusu Serikali ikubali makubaliano na Israel ili kuunusuru mji wa Beirut!! Iran sasa vita kavipeleka YEMEN ambayo ni choka mbaya tayali. IRAN NOMA NOMA muisrael mchumba tu anapelekwa popote atakapo Muiran Vita Tamu kwasasa Muisreal atajuta kumchokoza Muiran Iran Hatari na nusu.
 
Hizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote.

Niwatakie sabato njema

December 21, 2024

Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has posted several mocking messages to X, some of them in Hebrew.

In one post in Hebrew, al-Asad writes: “The failure of all Israeli defense systems means that the heart of the Zionist enemy is no longer secure.”

Times of Israel
Yeye anatamka wakati wenzake wanaua kabisa
 
Wenyewe wanadai shule yao imeharibiwa kabisa na magari mengi kuteketea kwa moto lakini hajafa hata mtu mmoja! Nadhani wanafunzi na wafanyakazi wa hiyo shule wote wapo likizo na hayo magari yote yalikuwa parking.
Hao daima hawasemi ukweli wao hata missiles zitue kwenye viuno vyao, watasema hakuna aliye kufa na wameumia labda mmoja au wawili 😄 🤣
 
Back
Top Bottom