Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Houthi wanapiga kwenye mshono, netanyahu macho juuIran mioyo Yao ipoje
Kipigo cha Muiran Waadi Sadaqi 3 karibu mtakiona nadhani kabla ya tarehe 5/1Iran mioyo Yao ipoje
Mfurukutwa mwenzio huyo kwa Mazayuni, anaendeleza kebehi zake kwa kobaz!Haya ila msije mkaanza free yemen.
Wenyewe wanadai shule yao imeharibiwa kabisa na magari mengi kuteketea kwa moto lakini hajafa hata mtu mmoja! Nadhani wanafunzi na wafanyakazi wa hiyo shule wote wapo likizo na hayo magari yote yalikuwa parking.Kipigo cha Muiran Waadi Sadaqi 3 karibu mtakiona nadhani kabla ya tarehe 5/1
Vichekesho vya Israel wambieni wanao fahamu kiarabu wawatafsirie, Al jazeera wanasema Israel hakuangusha hata Missile moja katika Missiles 8 za Yemen zile Hypersonic tena kichwa cha mlipuko ni kikubwa sana. Mwanza Israel walizua uwongo wameangusha missile ya Yemen ilipogika mwenye border yao. Bada ya ile missile kudhuru majumba yalio kusudiwa Israel wakakiri Irone dome yao imefailed.
View: https://youtu.be/Ta_tIVqGqMw?si=utu6aJ5gnY6AlRcI
Umeumia ukiwa wapi bwasheeeHaya ila msije mkaanza free yemen.
Uko saaiii kaka wamepigwa kwenye mshono kiasi mwenye m'bwa wake USA Uk wamekuja juu na kilio seem iliopigwa ni seem muimu sana ndani ya Taifa la mizegwe zegwe.Houthi wanapiga kwenye mshono, netanyahu macho juu
Tushawazoea lkn muimu bado wanatafuta waliofukiwa kwenye kifusi iyo ndio onyo imebidi USA na Uk waje uwanjani uku wenyewe uwogo umewajaa.Wenyewe wanadai shule yao imeharibiwa kabisa na magari mengi kuteketea kwa moto lakini hajafa hata mtu mmoja! Nadhani wanafunzi na wafanyakazi wa hiyo shule wote wapo likizo na hayo magari yote yalikuwa parking.
Yeye anatamka wakati wenzake wanaua kabisaHizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote.
Niwatakie sabato njema
December 21, 2024
Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has posted several mocking messages to X, some of them in Hebrew.
In one post in Hebrew, al-Asad writes: “The failure of all Israeli defense systems means that the heart of the Zionist enemy is no longer secure.”
Times of Israel
Hao daima hawasemi ukweli wao hata missiles zitue kwenye viuno vyao, watasema hakuna aliye kufa na wameumia labda mmoja au wawili 😄 🤣Wenyewe wanadai shule yao imeharibiwa kabisa na magari mengi kuteketea kwa moto lakini hajafa hata mtu mmoja! Nadhani wanafunzi na wafanyakazi wa hiyo shule wote wapo likizo na hayo magari yote yalikuwa parking.