Msemaukweli

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Wana JF kuna Jengo la kifahari mfano wa meli unajengwa maeneo ya Majengo Mkoani Arusha,mwenye kujua ni la nani atueleze au tulifanyie uchunguzi.Kwa sasa mafisadi wanatumia majina ya watu wengine katika majengo na mali mbalimbali walizopata isivyohalali.Katika Mkoa wa Arusha Majengo,Kampuni za uwindaji nk zinatumika majina tofauti na za wamiliki wake kama njia ya kuficha ukweli.Tufichue uhujumu huu wa rasilimali za Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…