nini maana ya mwenda tezi na omo,marejeo ngamani ?
iweke pia sentensi hiyohiyo kwa kingereza,mwenda tezi na omo ni marejeo ngamani.
tujipime sisi ni wazuri kwenye lugha gani,kati ya kingereza na kiswahili.
tezi na omo ni pande za ngalawa (mbele na nyuma) ngamani ni pale katikati kwenye lile tanga.Hivyo mwenda mbele au kurudi nyuma anatangatanga/hangaika mwisho wa siku ataangukia katikati kama sehemu salama kwake