Msemo ninaouchukia

Je tunapinga kwamba kila kitu kina sababu?

Hapana sipingi. Ni kweli kila kitu kina sababu...just like kila uamuzi/tendo lina matokeo.


Mimi nasema maana yake ni kwamba kila kitu kinachotokea, na mara nyingi hata kama kibaya, basi kina maane yake kutokea kwa sababu siku za mbele kitakuja kusababisha mazuri.

Kaka, ishu yangu mimi ni kwamba kuna uhakika gani hicho "tuzuri" tuko in the future?


For everything that happens, there is a reason.

I agree!.....the reason might have been settled in the past. Who would know!!!
 
Kisura,

Msemo wa "everything happens for a reason" nadhani huuelewi.

You think?

By the way, hiyo argument sidhani kama ina make sense.

Nini kinakufanya ufikiri ni mechanical failure kama huna clue yoyote na unasubiri ripoti?

Sasa hapa ishu ya nini? Mimi kufikiri??? (Totally Irrelevant)

My point, Chopa imeenda chini, regardless of the nature of the cause, undetermined if I may add, kuna sababu iliyopelekea chopa kwenda chini. Sasa unachobisha kipi katika hili?
 

Kisura,

Nafikiri wanafalsafa hawa wanaongelea reason as in purpose, forward looking deterministic and optimistic outlook as such.

Too much drinking of "The Purpose Driven Life" perhaps?
 

Naomba tutofautishe reason = cause na reason = purpose.

I support the reason = cause, I do not support the reason = purpose.

There are some things in life that are totally purposeless, beginning with life and its genesis itself.
 
Maana yake iko straightforward

…For everything that happens, there is a reason

You are wrong. I’ll show you why:

Kaka, ishu yangu mimi ni kwamba kuna uhakika gani hicho "tuzuri" tuko in the future?

Kwa sababu hai make sense kusema kwamba leo nimeshindwa interview ya kazi lakini ni poa kwa sababu faida yake ilisha tokea nyuma. Sasa nini kimesababisha kingine?

Unachoongelea wewe, kwamba lilitokea zuri huko nyuma (nilipata kazi nikaikataa, ndio maana niko hapa leo nimekosa hii kazi mpya) hicho unacho kiongelea wewe ni cause and effect, ni kitu kingine tofauti.

Hicho mnachokiongelea nyinyi ni cause and effect.

Hicho ndio anachodhani Pundit huu msemo unamaanisha. Lakini na yeye anakosea vibaya vibaya. Sio tu haitumiki hivyo, bali pia haimaanishi hivyo katika misingi ya sarufi.

"Everything happens for a reason" haimaanishi "everthing happens as a result of a reason."

Inamaanisha Everything that happens is a reason for "something else" to happen.
Which means that, that "something else" can never be in the past!

Kwa hiyo, tukiongelea kukosa kazi, kwa mfano, halafu rafiki yako akakupoza "everything happens for a reason." The "something" ni kukosa kazi, na the "something else" ni matokea yatakayosababishwa na kukosa kazi, ambayo lazima yawe mbeleni!
 

"what ifs", "what ifs", What if you are wrong? What if they are right? What are the chances that good thing has not happened as opposed to something happening in the future? What if ? Wivu au Kikorosho??? LOL!
 

Nilishaeleza hapo mwanzo jinsi interpretations za reason kama cause na reason kama purpose zinavyoweza kubadilisha maana ya sentensi.

BTW interpretations zote mbili ni valid, contrary to your refutation.
 
"Inamaanisha Everything that happens is a reason for "something else" to happen. Which means that, that "something else" can never be in the past!

Kuhani Mkuu,

/Everything happens/ for a /reason/.

That saying means that everything (good or bad) has a reason as to why it happens. It does not endorse that something else (good or bad) will happen in the future. The "something else" could have as well happened in the past.

Now, people usually use it as a type of comfort; hoping that maybe something terrible may seem really bad at that time, but you never know what other thing it can lead to (future), and that other thing "maybe" positive.

Nafikiri unauzunguka huo msemo too much. It's just a very straightforward saying.
 
"what ifs", "what ifs", What if you are wrong? What if they are right? What if ?

Yep! If you believe in probabilities and possibilities, then "what if" is the right tone!!

Wivu au Kikorosho??? LOL!

We acha tu, toka nimejionea mambo kwenye ile bar yangu ninayoizimia, basi nimejaa na wivu tu.....
 

QM,

I think Kuhani is correctly arguing to dispute the interpretation that Everything that happens has a meaning.
 
maana yake nini?

Kuhani Mkuu,

Kwa uelewa wangu mdogo, nafikiri huu msemo "Whatever happen, hapen for a reason" nafikiri upo straight forward. Chochote kinachotokea, kunakuwa kuna sababu iliyopelekea hicho kilichotokea kutokea! Whether negative ama Positive.
Mfano hiyo ndege iliyoanguka, imeanguka kutokana na sababu kadha wa kadha, na siyo kwamba imeanguka tu.



QM,

For the statement highlighted in red, na issue whatever happen has a reason bado unakubalika hapa, Guess what, Utakuwa umeikosa hiyo kazi uliyokuwa ukiifukuzia (Thats what happen 'kuikosa") kwa sababu hukuqualify kwa hiyo kazi (This is a reason 'qualification'). On the other hand, yule jamaa atayekuwa ameipata hiyo kazi (What happen to him/her 'kapata kazi'), ni kwa sababu amequalify kwa nafasi hii (This is the reason 'qualification')

Need I say more????????


By the way, what about the saying "Tunajifunza kutokana na makosa"???
 

Lizy,
I couldn't agree with you more. Lakini wengi hutumia huu msemo as a comfort kwamba pengine kazi mzuri zaidi inawasubiri huko mbeleni. Sidhani kama wengi huona analysis uliyoiweka wewe.

By the way, what about the saying "Tunajifunza kutokana na makosa"???

Msemo huu ninakubaliana nao kwa 99% (always leave out 1%). When you fall down; you get up, clean yourself, and keep moving....only this time you move with cautious not to fall again...huko ndiko kujifunza.
 
Kuhani Mkuu,

Kwa uelewa wangu mdogo, nafikiri huu msemo...

Ni vigumu sana kunishawishi kama umeshaniambia toka awali, kwamba ulewa wako ni mdogo...

LOL!

Nataka uhakika!
 
Lizy,
I couldn't agree with you more. Lakini wengi hutumia huu msemo as a comfort kwamba pengine kazi mzuri zaidi inawasubiri huko mbeleni. Sidhani kama wengi huona analysis uliyoiweka wewe.

Hivi, how do you justify your reasons(na kukubali analysis yako kuwa ndio inaleta sense) and someone else's justification of their reasoning? In this matter, I am referring the the very example of being passed on a job offer, what it pertains to and what not?

Ni kwamba wewe uko right nao wako wrong?
 

Hivi kwani umekula maharage yenye pilipili sana nini leo? Mbona mkali hivyo?...lol

Mimi nina generalize kutokana na nionavyo jinsi wengi hutumia huo msemo. Sina maana ya kwamba nionavyo mimi ndivyo sahihi. Kama ukirudi nyuma kidogo kwenye post zangu, utaona kuna mahali niliweka "maoni yangu" kwenye mabano.
 
I think the statement 'everything happens for a reason' is very valid but should not be taken as a comfort, rather as a lesson to be learnt.
Seriously. Get something out of every good or bad thing, happening to you or to anyone else.

i also hate statementsof our politicians or intelectuals when they always dont forget to add 'tukawaelimishe wananchi' as if they are not among the wananchi.
or 'mwananchi wa kawaida haelewi'
as if they are constantly out of the bracket.
I am alnost sure that a lot of things will change if ppl in decissionmaking posItions will include themselves in the brackets they are WORKING ON.
I would trust much more a politician or public servant talking like this. 'We need to learn more about computers, all of us would benefit from computer colleges so we should work on encouraging them being started in all places in tanzania, rural and urban equally'
not 'inabidi wanachi waelimishwe.'
 



  • "Mimi kama mimi..."

  • "Sisi waAfrica..."
There is an acceptable use however of the phrase "sisi waafrica". In most cases I will choose not to use that phrase.


Haika, unaposema kazi ya mtanzania, ningekuhitaji ukokotoe zaidi. Kuna kazi/bidhaa za watu wa Asia zilizo ovyo kabisa.
Sitazifagilia bidhaa za watanzania zilizo ovyo na zisizokuwa na mlingano mzuri wa bei/(production cost) versus ubora.

Nimeona tangazo la sabasaba la kampuni inayotengeneza frame za madirisha ya plastic (mbadala wa aluminum frames). Maelezo ya huyo bwana yalinipa ushawishi, wameonyesha umakini kwenye kazi yao.



.
 
nachukia sana watu wa nchi za nje wanaposema 'nakwenda Afrika'
'nilisaidia afrika'

what is Africa?
wanafanya kama ni wilaya moja.

Au wamarekani wanaposema 'this is is world news' an 'so and so is a world aclaimed politician' wakati mtu mwenyewe hata ramani ya Afrika haijui.
' It is known all over the world" wakimaanisha kwamba kuna nchi moja ya afrika wana habari hiyo.
Wananikera yani wacha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…