Msemo wa laki si pesa umeishia wapi?

Msemo wa laki si pesa umeishia wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Zamani walikuwa na dharau na pesa walifikia kipindi kudharau mpaka million.sasa hivi ukitoa 10000 tu mademu kama wote wanakutolea macho.si ndio raha hio ndio Tanzania tunayoitaka
 
Zamani walikuwa na dharau na pesa walifikia kipindi kudharau mpaka million.sasa hivi ukitoa 10000 tu mademu wanakutolea macho.si ndio raha
Kwani hao mademu wenyewe hawana hela hadi watolee macho hiyo elfu kumi yako? Wenyewe hawajui kutafuta hela?
 
Back
Top Bottom