ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwani hao mademu wenyewe hawana hela hadi watolee macho hiyo elfu kumi yako? Wenyewe hawajui kutafuta hela?Zamani walikuwa na dharau na pesa walifikia kipindi kudharau mpaka million.sasa hivi ukitoa 10000 tu mademu wanakutolea macho.si ndio raha