Mseven ampigia Magufuli simu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549


Hallo Magufuli, nipo hapa karibu na mpaka wa Tanzania, kwa spidi ya Magufuli nimemaliza barabara hadi Tanzania.

Upo wapi leo? Kama upo geita njoo tuonane hapa [emoji28] [emoji28]
 
Unajua utaratibu wa marais kupigiana simu?
 
View attachment 365562View attachment 365563

Hallo Magufuli, nipo hapa karibu na mpaka wa Tanzania, kwa spidi ya Magufuli nimemaliza barabara hadi Tanzania.

Upo wapi leo? Kama upo geita njoo tuonane hapa [emoji28] [emoji28]


Ni vyema utuambie kama kweli hayo maneno ni ya Rais Museven au ni utani umefanya. Utapotumia maneno ya utani katika habari, mwishoni ni busara kutuambia wasomaji.
 
masihara mengine hayana maana...ukiambiwa unaeneza uongo unaanza kulalamika
 
poa braza musaba,mi nipo huku mitaa ya magogoni nimetulia na madogo wangu,tunafanya misheshe za kuyashughulikia majipu,kama vipi nicheki wiki ijayo au njoo tu utakumkuta waZiri wangu hapa atakupa nyepesi nyespesi zangu,mi nipo nawatanzania tu,halafu usinibeep tena sa hivi nabana matumizi sana kama mchaga wa machame,ili wote tuwe matajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…