D DEO G Member Joined Mar 27, 2007 Posts 11 Reaction score 2 May 23, 2011 #1 uadilifu, kutokujilimbikizia mali, umoja, usawa na uwajibikaji ndizo sifa za viongozi wa taifa. viongozi ambao wanavunja hizi sifa ndio chanzo cha umaskini wa tanzania tangu miaka 50 ya uhuru. i agree n thank u very much Mr. Sitta.
uadilifu, kutokujilimbikizia mali, umoja, usawa na uwajibikaji ndizo sifa za viongozi wa taifa. viongozi ambao wanavunja hizi sifa ndio chanzo cha umaskini wa tanzania tangu miaka 50 ya uhuru. i agree n thank u very much Mr. Sitta.