Mshahara aupendagi ujinga nao

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
Maisha bhana huwa nayo hayapendag ujinga kabisa...!!!
Mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi)...kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabsaa (unazurura zururura)

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kwiiikwiiiiikwiiii yaani nyie lkn smtime ni upangaji mbaya Wa bajeti...na akili ya MTU....unalipwa 200000 au 150000 unataka huohuo ule bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…