Mshahara baada ya kuhitimu level 6 kwenye Civil Engineering Serikalini

Mshahara baada ya kuhitimu level 6 kwenye Civil Engineering Serikalini

Naomba kujua mshahara baada ya kuhitimu level 6 kwenye civil engineering serikalini.
Mshahara unatofautiana mkuu kutegemea umeajiriwa taasisi gani ya serikali,mfano civil engineering level 6 halmashaurii ni Tgs C=580000,ukiajiriwa Tanroad ni 1M+,ukiajiriwa RUWASA=680000+ ,TRC,=680000,,,,Kiufupii kiwango kidogo ni 580000 na kiwango kikubwa ni 1.2M+ Tanapa
 
Back
Top Bottom