Mshahara haujatoka ila Salary Slip za mwezi huu zishawekwa kwenye mfumo wa ESS

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Hii ni maajab

Mshahara bado haujatoka kwa watumishi wa umma lakini ukiingia kwenye mfumo wa ESS unakuta washaweka salary slip ya mwezi huu

Hii kitaalam inaitwaje? Au watumishi wamekopwa🤣
 
Sio mara ya Kwanza,

NI kawaida.

Mshahara unapitia banks na salary slip hazipit huko.

Mwez huu system za bank zipo busy Sana .
Week Jana nilidepost check kadhaa lakin zikasoma baada ya Kama masaa 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…