MSHAHARA HUO, UKO VILE VILEe!

MSHAHARA HUO, UKO VILE VILEe!

Kilichokuchukiza nini tena mkuu?Tatizo ni kwamba ulishaanza kutengeneza bajeti kubwa kwa pesa iliyo mfukoni kwa baba Rizi......Kama kuna ongezeko la mshahara lililotangazwa na serikali litaanza mwaka uwa fedha yaani kuanzia Juai MOSI na sio kabla ya hapo.POLE SANA MKUU!
 
Maisha haya, sikio la kufa


Tafakari sana, nimechukia sana:frusty:

M'BABA umetoka povu... It seems umeingia deni kwa kutegemea ongezeko la "SALARE" ambalo hata hukujua ni "SENTE NGAPI" ... Ehehehe pole mkuu jikaze
 
Back
Top Bottom