Kilichokuchukiza nini tena mkuu?Tatizo ni kwamba ulishaanza kutengeneza bajeti kubwa kwa pesa iliyo mfukoni kwa baba Rizi......Kama kuna ongezeko la mshahara lililotangazwa na serikali litaanza mwaka uwa fedha yaani kuanzia Juai MOSI na sio kabla ya hapo.POLE SANA MKUU!