Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kijijini nani anunue mayai na kila mtu anayo?Mkuu komaa mkoani kwanza, huko uki jiongeza una pata ka msingi ka kuongeza side hustle.
Dar wapo wanao ishi kwa hadi 150k, ila mazingira yalisha jiseti kidogo kuliko we wa kuja bila ramani.
Tafuta madogo 2-3, nunua mayai ya kuchemsha wape wazungushe.
1.Maendeleo ya jamiiUmesomea nini?
Unaujuzi gani?
Umri wako?
Unapenda kufanya nini zaidi?
Ukifika downtown nakianzio?
Ushauri mzuri nitafanyia KAZIMkuu komaa mkoani kwanza, huko uki jiongeza una pata ka msingi ka kuongeza side hustle.
Dar wapo wanao ishi kwa hadi 150k, ila mazingira yalisha jiseti kidogo kuliko we wa kuja bila ramani.
Tafuta madogo 2-3, nunua mayai ya kuchemsha wape wazungushe.
AhsantePambana kijana mpambanaji.
Kwa huku kijijini Huwezi kuuza mayai kila mtu ana kuku pia kununua mayai ni kama anasa watu wa huku wagumu kutoa pesa kwasababu pesa ni ngumu kupatikanaKijijini nani anunue mayai na kila mtu anayo?
Anapajua kijijini kweli?
Jilipue ingia town jichanganyeKwa huku kijijini Huwezi kuuza mayai kila mtu ana kuku pia kununua mayai ni kama anasa watu wa huku wagumu kutoa pesa kwasababu pesa ni ngumu kupatikana
Kwa huku kijijini Huwezi kuuza mayai kila mtu ana kuku pia kununua mayai ni kama anasa watu wa huku wagumu kutoa pesa kwasababu pesa ni ngumu kupatikanKijijini nani anunue mayai na kila mtu anayo?
Anapajua kijijini kweli?
Nakucheki pm kaka anguAnzisha duka la matakataka weka mtu wewe endelea kupambana, mengine nichek pm.
Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante
PM unaenda kutapeliwaNakucheki pm kaka angu
Upo sahihi mkuuHakunaga mshahara WA laki mbili Zama hizi mkuu.
Shahada
Miaka 25
Kijana(mwanaume)
Hiyo pesa ni ndogo haikufikishi hata robo ya popote.
Huwaga nasema kama malipo ya kazi hayafiki angalau 500k Bora ujiajiri hata kuuza karanga, udalali, uwinga, n.k.
Kwasasa sipo nyumbani tayari nipo kwnye hiyo kazi ila ndio napata mawazo kuja dar nikiamini harakati ni nyingi hukoNenda kafanye hyo kazi kwanza, Mawazo mengine utayapaya huko huko.
NB: nimekumbuka mbali sana, Mshahara wangu wa kwanza nililipwa hyo 200,000/= baadae wakaniongezea ikawa 300,000/= baada ya miezi mitatu nikaonhezewa ikawa 450,000/= Na baada ya mwaka nikaacha kwenda kufanya kazi kwingine.
Kama huna mishe nyingine we nenda tu, na ujitahidi utoke hapo kwenu.
Kwenye uzi unasema umri wako ni 25 ila hapa unasema umri wako ni 273.umri 27