Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Mkuu huenda huko PM kunaweza kuwa msaada kwangu acha niende ntakupa feedbackPM unaenda kutapeliwa
Mada ipo wazi anakupeleka chumbani kufanya nini?
Amwage nondo hapa wadau wachambue
Hahhahha typing error kaka anguKwenye uzi unasema umri wako ni 25 ila hapa unasema umri wako ni 27
Leo leo leoooo kazi ipooo.
Upo sahihi mkuu
Karibu napokea ushauri wako kaka
Karibu
Hapa unasema umri wako ni 25 ila kwenye comment namba 15 unasema umri wako ni 27Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili
Miaka 25
Elimu shahada
Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???
Ahsante
Kwasasa sipo nyumbani tayari nipo kwnye hiyo kazi ila ndio napata mawazo kuja dar nikiamini harakati ni nyingi huko
Kumbe mkoani ni kijijini?, oppsKijijini nani anunue mayai na kila mtu anayo?
Anapajua kijijini kweli?
Hahhahha typing errorKwenye uzi unasema umri wako ni 25 ila hapa unasema umri wako ni 27
Leo leo leoooo kazi ipooo.
Skilled job mkuuHyo kazi ni kazi gani, Skilled au Non skilled? Kama ni Non skilled mfano saidia fundi, Hizi inaacha tu maana hazikuonhezei connection wala skills.
Ila kama ni Skill job, Unafanya huku unakuza ujuzi, we baki tu.
Ahsante umenifunza kitu mkuu acha nifanye risk assessment kwanzaMaisha yamekuwa magumu sana especially Dar es salaam kwa hiyo inabidi ucalculate risk vizuri.
Mimi ushauri wangu nikwamba toka kijijini ila kabla hujatoka inatakiwa ujitafakari kabisa ujue unakuja kufanya biashara ipi au mishe ipi hata kama ni ndogo kiasi gani.
Usije tu na pesa bila wazo utakula yote ndani ya wiki mbili ubaki huna kitu uanze kuangaika
TaboraUpo Mkoa gani?
Mjini hautakiwi uwe na aibu, pesa IPO.
Baki huko huko kazini. Maisha ni hatuaKwasasa sipo nyumbani tayari nipo kwnye hiyo kazi ila ndio napata mawazo kuja dar nikiamini harakati ni nyingi huko
Mkuu Mimi nafanya kazi za ndani nalipwa laki je niache kazi au Mimi nifanyeje jamani?Huwaga nasema kama malipo ya kazi hayafiki angalau 500k Bora ujiajiri hata kuuza karanga, udalali, uwinga, n.k.
πππKwenye uzi unasema umri wako ni 25 ila hapa unasema umri wako ni 27
Leo leo leoooo kazi ipooo.
Mliojipata mnadharau,hivi unajua mshahara wa sekta binafsi kwa kazi ambazo hazihitaji profession kubwa ni kiasi gani?Anza Leo kufanya sensa ya kazi zote zinazopatikana katika jamii ujue watu wanalipwaje.Unajua cashier wa kwenye shell analipwaje,unajua muuza pharmacy analipwaje,unajua nesi kwenye zahanati analipwaje,unajua mlinzi analipwaje,unajua cashier kwenye ofsi za kubeti(galsport,pmbet,premier bet) analipwaje,unajua mwalimu wa nursery school analipwaje,unajua dereva WA school bus analipwaje n.k acha dharau kijana.Hakunaga mshahara WA laki mbili Zama hizi mkuu.
Shahada
Miaka 25
Kijana(mwanaume)
Hiyo pesa ni ndogo haikufikishi hata robo ya popote.
Huwaga nasema kama malipo ya kazi hayafiki angalau 500k Bora ujiajiri hata kuuza karanga, udalali, uwinga, n.k.
Ujumbe una maana huuMliojipata mnadharau,hivi unajua mshahara wa sekta binafsi kwa kazi ambazo hazihitaji profession kubwa ni kiasi gani?Anza Leo kufanya sensa ya kazi zote zinazopatikana katika jamii ujue watu wanalipwaje.Unajua cashier wa kwenye shell analipwaje,unajua muuza pharmacy analipwaje,unajua nesi kwenye zahanati analipwaje,unajua mlinzi analipwaje,unajua cashier kwenye ofsi za kubeti(galsport,pmbet,premier bet) analipwaje,unajua mwalimu wa nursery school analipwaje,unajua dereva WA school bus analipwaje n.k acha dharau kijana.