Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

Kuna kiwanda pale Morogoro
Wanalipwa 250k wanafanya kazi 12*12 yaani ukiingia saa moja jioni mpaka Kesho saa 1 asubuhi. Na kazi ya shifti ni kazi ngumu Sana
Kipindi nimemaliza chuo , nilisha kuwa supervisor kiwanda fulani huko moro , kiukweli hakuna kibarua anaweza toboa , kazi zile ni za kitumwa na hazijaandaliwa ili mtu utoboe na hata kula tu Milo ya siku ni ngumu
 
Kule ukifanya kazi miezi mitatu lazima udhoofu. Uchoke.
Bora saidia fundi Kwa Siku inahesabika 15k - 20k.
Unaweza ukaweka hesabu ya Supu hata ya mapupu. Kurudisha nguvu lakini viwandani malipo makubwa kwa mwezi ni 7k - 8k kwa siku
 
Muache ananionea Wivu. Wala asikusumbue.
Uje unifundishe hichohicho hata kama nichakubanika
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ngoja niondoke nisiharibu mada maana huwezi kumuona tena hapa ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ bye bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ