Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

Pia niongezee kitu mfanya kazi wa ndani huwa kwa siku at least hakosi n.k unakuta nyumbani anaachiwa pesa ya matumiz so kuna namna huwa wanafanya
 
Data mkuu
Anza kujifunza dvanced Excel & dashboard reporting.

Ukijua kutumia pivot tables na kutengeneza interactive dashboards utaonekana wa tofauti.

Ukianza na excel,ndani ya mwezi mmoja unaweza kuanza kuomba kazi za data entry au account assistant ambazo kuna uwezekano wa kupata.

Kila lenye kheri mkuu.
 
Nashukuru sana mkuu
Nitafanyia KAZI huu ushauri wako
Ahsante snaa
 
Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili

Miaka 25
Elimu shahada

Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???

Ahsante
Dsm unaenda kuishi kwa nani? Kwa kupanga na kulipa kodi au nyumbani kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…