Mshahara mwezi Julai bado?

Ujuaji mwingi, kila mtu akifungua hiyo biashara unayofanya wewe nani atamuuzia mwenzake? Utofauti wetu ndiyo unatufanya tuweze kuishi pamoja na kwa amani, ulichonacho wewe mwingine hana, na alichonacho mwingine wewe huna
Na hakuna shida kuwa mtumishi wa umma na kuwa na biashara nyingine nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…