Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tegemea swali lako kutopata jibu sahihi maana halijibiki.Habari wana jf naomba msaada kujua mshahara ngazi ya diploma ni kiasi gani kwa kuanzia.
INATEGEMEA NI OFISI GANI,
serikalini na mashirika binafsi yanatofauti,pia viwanda vya wazungu na vya wahindi wana malipo yao tofauti.
kuanzia elfu 80 mpaka mil.30 kwa maoni yangu. ni kutokana na kazi, uzoefu, hadhi ya ofsi n.k . Labda ubadili swali lako maana akili za watu ni kama google unavobadili swali ndo majibu yanavobadilika. Weka swali lako vizuri upate jibu sahii.Gudtym.
Tegemea swali lako kutopata jibu sahihi maana halijibiki.
Ni Mtazamp wangu Madata
Tegemea swali lako kutopata jibu sahihi maana halijibiki.
Ni Mtazamp wangu Madata
kwa idara gani?na nafasi gani?
be specific, pleeeese!