Mshahara ngazi ya stashahada

Mshahara ngazi ya stashahada

madata84

Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
49
Reaction score
2
Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana.
 
Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana.

Scale zinatofautiana kutokana na Kada?
Wewe umehitimimu kozi gani kwa ngazi tajwa?
Ukiachilia kada ya Afya ambayo wanalipa zaidi TGC 2 ya kada nyingine ni 278400 but kwa kada ya afya inalipwa like 400,000 Plus!!
 
Back
Top Bottom