M madata84 Member Joined Jan 17, 2011 Posts 49 Reaction score 2 May 4, 2011 #1 Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana.
Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana.
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,133 May 4, 2011 #2 madata84 said: Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana. Click to expand... Diploma ya nini?
madata84 said: Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana. Click to expand... Diploma ya nini?
M madata84 Member Joined Jan 17, 2011 Posts 49 Reaction score 2 May 5, 2011 Thread starter #3 Gerrard said: Diploma ya nini? Click to expand... Diploma ya social science
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 May 5, 2011 #4 madata84 said: Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana. Click to expand... Scale zinatofautiana kutokana na Kada? Wewe umehitimimu kozi gani kwa ngazi tajwa? Ukiachilia kada ya Afya ambayo wanalipa zaidi TGC 2 ya kada nyingine ni 278400 but kwa kada ya afya inalipwa like 400,000 Plus!!
madata84 said: Habari zenu wana jf naomba mnijulishe mshahara kwa ngazi ya Diploma kwa kuanzia, asanteni mbarikiwe sana. Click to expand... Scale zinatofautiana kutokana na Kada? Wewe umehitimimu kozi gani kwa ngazi tajwa? Ukiachilia kada ya Afya ambayo wanalipa zaidi TGC 2 ya kada nyingine ni 278400 but kwa kada ya afya inalipwa like 400,000 Plus!!