Mshahara ni deni

Mshahara ni deni

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Leo niwasanue wadau, kuna mtu kagombana na boss wake kwa kuwa hakwenda japo aliomba ruhusa lakini ofisi ikawa na kiherehere kutaka kujua kwa nini hakufika.

Binafsi nikamshauri aseme tu hakuwa na pesa, akaniambia lakini nimepokea mshahara hata wiki 2 hazijaisha wakiniuliza ntajibuje?

Nikamwambia sema umelipa madeni wakiomba ufafanuzi waambie, "Umeanza kazi mwanzo wa mwezi lets say tarehe 2, umefanya kazi bila kulipwa na muda wote umekuwa ukiingia gharama za usafiri na chakula na kodi pia, so mshahara unapotoka mwisho wa mwezi unakuwa ushatumika tayari kuanza mwezi mpya mpaka mshahara unatoka.”

Sasa binafsi huwa sielewi hii hela ya kutumia kabla ya mshahara inatakiwa iwe gharama ya nani?
 
Back
Top Bottom