mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Wale walio hakikiwa tu[emoji1] [emoji1]Watumishi wa Halmashauri tu
Mkuu wewe ndiye ESCROW?
Hehe itabidi uwekwe uzi maalumu wa kupeana hizi habari bila kikomo kama ule wa makapuku usiokuwa na mwisho.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] duh habari hii ya kweli? Ngoja nimcheck mwana mwenye simbanking
Bado mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] duh habari hii ya kweli? Ngoja nimcheck mwana mwenye simbanking
Hehe watu weshahemea iftari zote wewe unasema bado!Bado mkuu
Weka picha mkuu, hata mimi siamini kama kweliTayari toka Jana usiku
Mwanaume wa kweli huyu...kidume cha mbegu