Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wana JF naomba mnisaidie mshahara wa ngazi ya TGRS A ni kiasi gani maana napenda nifahamu kabla sijaingia mkataba na mwajiri.nisaidieni nipate maamuzi sahihi.
Watu wengine bwana! Sema kabla hujaomba nafasi ya Mtafiti kwenye Wizara ya Kilimo ilyotangazwa kwenye magazeti tarehe 9/11. Kama ni kwa mwajiri mbona barua hutaja kiwango cha mshahara hujawahi kuajiriwa nini? Any way ni 829,500/=