mshahara TRA

joskill

Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
52
Reaction score
10
wakuu naomba niulize, hivi tra kwa ngazi ya diploma mshahara wanalipa sh. ngapi?
 
wakuu naomba niulize, hivi tra kwa ngazi ya diploma mshahara wanalipa sh. ngapi?

Bwana hawa ni wezi tu wana mishahara mikubwa kuliko hata wasomi wakubwa you can think of!!!! (sorry sijajibu swali )
 
Unakula kutokana na uref wa kamba na ujanja wako bongo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…