Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
are you seriouse mkuu?
book 8 kwa siku kwa muda wa miezi mi3 ya kwanza !
Sasa benki head office manzese unategemea nn?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ni kweli buku nane kwa siku halaf wateja unatafuta jua kali balaa matenti yao kama watu wa simu hawajali kama mtu una degree yako unalost pale u wont see urself growin in career wise unazungukuka madukani uswahilini yan unakuwa kama wauza mabesen na degree yako
Sasa benki head office manzese unategemea nn?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Waambie aise, degree isikupe bichwa la kutaka kuanza na M2 ndo ujue sasa umeanza kazi, mwamzo mgumu watu wanasota na degree siku hizi hadi wanaamua kwenda kuongezea masters ndipo waingie sokoni.
ni kweli buku nane kwa siku halaf wateja unatafuta jua kali balaa matenti yao kama watu wa simu hawajali kama mtu una degree yako unalost pale u wont see urself growin in career wise unazungukuka madukani uswahilini yan unakuwa kama wauza mabesen na degree yako
Ukitaka kuandika paper yako juu ya tabia zinazoathiri SMEs Tanzania basi that is the right place. Hamia field. Hakuna namna Marine Biologist anaweza kufanya kazi bila kuwepo chini ya bahari hata awe na elimu gani. Na kama ulikuwa unataka kupatiwa kiyoyozi pale nje, basi fahamu kuwa kiyoyozi hakiji bila wewe na wenzako wenye degree (mliosoma sana) mtakapoamua kuweka juhudi zenu kuiinua Advans Bank ifikie level ya huko unakotaka kulinganishia. Unayoyaona CRDB, Standard Chartered na kwingineko hayakushuka na wala hayakuletwa na watu wenye mawazo kama yako, bali watu waliotambua thamani ya elimu zao inaonekana zinapozalisha kitu na sio kusujudia makaratasi.u wont see urself growin in career wise
No doubt utakuwa wa kike.
Bi mdogo, degree haimaanishi tiketi ya wewe kukaa ofisini. Degree ni kiwango cha elimu na sio kiwango cha UBOSI. He who works had is the boss. Upo uwezekano share holders wa Advans Bank ni mama lishe na makondakta wa daladala. What make them on top of you is their enthusiasm and entrepreneur mindset.
Huko walipo (share holders) wapo juani wakiuza mabeseni unayokandia ili waendelee kuwekeza zaidi katika uwekezaji ambao unakupa wewe ajira. Katika hali yeyote, usijidanganye kuwa wewe ni bosi kwao, WEWE NI MTUMISHI WAO.
Angalia hiyo kauli yako "hawajali kama mtu una degree yako". Hii ni kauli ya mtu masikini sana, tena fukara wa mawazo. Advans Bank hawakufungua firm yao ili wakuajiri. Yawezekana kutoa ajira ni moja ya sababu za kuanzishwa kwa institution lkn sidhani kama that was their primary objective. In business world the first thing on the line is MAKING PROFIT.
Sasa kwa kudhania kwamba ukiwa na degree maana yake huchomwi na jua huo (ashakhum si matusi) ni upumbavu. Kuna watu wana Masters (Geology, Civil Engineering, Marine Biology n.k) na wapo juani ili kutimiza majukumu yao. Au unadhani wewe ndio umesoma sana kuliko watu wote?
Ukitaka kuandika paper yako juu ya tabia zinazoathiri SMEs Tanzania basi that is the right place. Hamia field. Hakuna namna Marine Biologist anaweza kufanya kazi bila kuwepo chini ya bahari hata awe na elimu gani. Na kama ulikuwa unataka kupatiwa kiyoyozi pale nje, basi fahamu kuwa kiyoyozi hakiji bila wewe na wenzako wenye degree (mliosoma sana) mtakapoamua kuweka juhudi zenu kuiinua Advans Bank ifikie level ya huko unakotaka kulinganishia. Unayoyaona CRDB, Standard Chartered na kwingineko hayakushuka na wala hayakuletwa na watu wenye mawazo kama yako, bali watu waliotambua thamani ya elimu zao inaonekana zinapozalisha kitu na sio kusujudia makaratasi.
Ukiendelea kuwaza unavyowaza, amini nakuambia utaishia kuhonga mwili wako kwa mameneja ktk harakati za kutafuta na hayo makaratasi yako yataishia kukupatia ugonjwa. Taifa hili halitajengwa kwa makaratasi bali kwa kufanya kazi kwa nguvu.
Reading from your JF ID (Wemah) ambayo bila shaka inasimama kwa Wema naweza kuona kuna shida kidogo ktk tafsiri ya maisha kichwani mwako. Ukiona Mushi (mchaga) anajiita Mushy, Msaki anajiita Msacky basi ujue kuna upungufu sehemu. Unaonekana ni mtu unayependa kuji - boost to ana extent jina lako mwenyewe WEMA, umeliongeza H just to sound English; Inferiority Complexion. Kama haitoshi, unakandia wauza mabeseni (for the way you speak) ilhali Business Chain inawahitaji wao zaidi yako (kama umesoma kweli utakubaliana na mimi katika hili)
NB: Karibu kwa ushauri ikiwa utautaka na nakaribisha matusi pia ikiwa kuna atakayejisikia kuwa annoyed na maneno yangu. Ila kwa tahadhari, kejeli na matusi ndio hasa fani yangu.
Cha kwanza mnachoweza kufanya mnapotoka vyuoni ni kuulizia mishahara na kukandia ofisi zilipo.
Labda nikukumbushe tu kuwa hata weledi wa huyu anayeomba kazi yenyewe haustahili kulipwa elfu 3 kwa siku. Kama umesoma kiasi cha kudhania unastahili kuomba kazi ya Loan Officer halafu una ukapuku kama wa kwake sidhani kama unastahili kulipwa zaidi ya 3,000 kwa siku.
Loan Officer ina maanisha atahusika na miamala ya fedha leo na kesho, lkn hata lugha ya fedha na manunuzi tu haijui. Angalia jinsi swali la kipuuzi kabisa lilivyochoropoka toka kwake: Mshahara wa advanc bank kwa nafasi ya loan officer ni bei gani?
Bei kwa bidhaa gani? Hiki ni kiswahili ambacho tumekiongea tangu utoto wetu, kesho hawa ndio wanatusainia mikataba bila kujua wameendika nini.
book 8 kwa siku kwa muda wa miezi mi3 ya kwanza !
Da! pengine mimi ndio nina uelewa potofu juu ya ku'hold degree.ni kweli buku nane kwa siku halaf wateja unatafuta jua kali balaa matenti yao kama watu wa simu hawajali kama mtu una degree yako unalost pale u wont see urself growin in career wise unazungukuka madukani uswahilini yan unakuwa kama wauza mabesen na degree yako
Ningeshangaa sana kama nisingekuta comment yako kwenye huu uzi......!!!
Hapa kuna tatizo lamsingi kabisa...kuna hoja moja inayofanan na hii nilitofautiana sana na Mwana Mtoka Pabaya,lakini kwa kili naweza kumuunga mkono kwamba graduates mmeanza kupotoka!!!Labda nikuulize mtoa mada,wewe ulitegemea ukienda advans Bank utapewa kiasi gani kwa kufanya kazi ya loan officer????