Mshahara wa Aprili umetoka mapema tu wakuu

Mshahara wa Aprili umetoka mapema tu wakuu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Zingatieni kuweka stock ya vyakula ndani,acheni anasa weekend hizi sio nzuri kbs huchomoki utajikuta jumatatu unaamka na laki moja au mbili.
 
Zingatieni kuweka stock ya vyakula ndani,acheni anasa weekend hizi sio nzuri kbs huchomoki utajikuta jumatatu unaamka na laki moja au mbili.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kila mbuzi kwa urefu wa kamba yake, kuna wengine wanakula maisha haijalishi tar 30 ama tar 15 kiujumla hakuna cha mwisho wa mwezi wala mwanzo
 
Back
Top Bottom