Mshahara kima cha chini ni Tsh. 70,000/=[emoji41]
Huyo aliwadanganya,huo mshahara ni wa mtu wa form six au koplo mwenye miaka kadhaa kazini tena kabla ya makato, mwenye form 4 anachukua around 450k kabla ya makato.Mkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....
Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi
Huyo aliwadanganya,huo mshahara ni wa mtu wa form six au koplo mwenye miaka kazaa kazini tena kabla ya makato,mwenye form 4 anachukua around 450k kabla ya makato.
Nenda pale Ukonga ukawaulize basi wahusika.How can we trust you sasa kama yeye alidanganywa.???
😄😄😄 uongo huu.Mkuu ninavyoelewa mimi vyombo vyote vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani (MT,UT,ZT,PT)mishahara yao inafanana na unalipwa kulingana na taaluma yako....
Mfano kuna mdau alisema humu ana mdogo wake yuko magereza ni form4 plain kabisaa anapokea kama 520000 hivi hapo bado posho 300k kwa kila mwezi na 100k ya vinywaji kila mwezi
[emoji1][emoji1][emoji1] uongo huu.
Kwamba mshahara wa mwalimu wa degree Tanzania bara anazidiwa na askari wa form fourHuyo aliwadanganya,huo mshahara ni wa mtu wa form six au koplo mwenye miaka kazaa kazini tena kabla ya makato,mwenye form 4 anachukua around 450k kabla ya makato.
Sijui mshahara wa mwalimu mkuuKwamba mshahara wa mwalimu wa degree Tanzania bara anazidiwa na askari wa form four
Degree mwl anakunja 600k ambaye hakatwi na body ya mikopoSijui mshahara wa mwalimu mkuu
Hauvuki 700 per monthSijui mshahara wa mwalimu mkuu
Okay ngoja nichangie kidogo na nitatoa mfano kwa polisi
Mshahara huwa unalipwa kulingana na degree uliyonayo mfano
Askari mwenye degree ya udactali analipwa 1.5m basic salary apo sijaweka posho laki 3 kila mwezi na laki 1 kila mwezi na bado posho ya ujuzi maalumu 15% ya mshahara wake
Askari mwenye degree ya IT analipwa laki 990000 basic salary kuna posho laki 300000 per month pia laki 1 kila mwezi na 15% ya mshahara pesa ya ujuzi maalumu
Askari mwenye degree labda ya law sijui uchafu gani ni laki 860000 na izo posho zingine nilizo ziweka juu
Form six laki 520000 na posho zingine nilizo zitaja kasolo pesa ya ujuzi
NB mimi sio askari ila najua ivyoo
Kwa nini ukadktari degree alipwe 1.5M na degree zingine iwe pesa ndpgoOkay ngoja nichangie kidogo na nitatoa mfano kwa polisi