technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ni lazima iwe hivyo, maana jamaa alitaka kutimka tukamzuia, ili kuondoa lawama inabidi ale vizur isiwe kesi, maana hata huko wanapo taka kwenda wanafata pesa...Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi
Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania?
Nimemsikia pia Ghalib Said Mohamed (GSM), Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza hivyo
Kama ni hivyo hongera sana kwa wachezaji wazawa sasa mpira unalipa.