Mshahara wa clinical officers 2

Mshahara wa clinical officers 2

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari Wana JF
Naomba kuliza kiwango Cha mshahara wa clinical officers 2 kwa serikalini wanalipa shingapi
 
Mkuu, Hii ni Basic Salary au Take home..?
Weka Salary Slip tuone
Hii ni Basic Salary...ya CO yaani TGHS B..
Take home inategemea na Makato yake..
Sina Salary Slip Kwa sababu Mimi Sio Muhisika yaani Sio CO ila Ninafahamu Mishahara yote ya Afya..Tamisemi na Wizara ya Baadhi ya Taasisi..
Screenshot_20250221_201844_Adobe Acrobat.jpg
 
Back
Top Bottom