Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #21
Pole sana, jifunze kumcha Mungu, shetani anakupa starehe ya muda mfupi alafu anakupoteza mazima.ππππππππππππππππππ
naombeeni konyagii nitazimiaa, naumia sanaa π₯Ήπ₯Ήπ₯ΉUmebata ushunguu mingira!?
Sasa na wewe mbona unapoteza muda kudiscuss na kuleta taarifa za mtu aliyekufa??Pili kwamba watenda dhambi ndo wanakufa nyinyi watakatifu mtapalizwa mbinguni kwenye upepo wa kisulisuli kama nabii Elia sio???Unamwabie yeye ajipumzishe wakati amekufa?
Kasichana,jibapa au tukuwekee kwenye ndoo kabisa uwe unajichotea tu?naombeeni konyagii nitazimiaa, naumia sanaa π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
kwenye ndoo π₯ΉKasichana,jibapa au tukuwekee kwenye ndoo kabisa uwe unajichotea tu?
Tulia hivyohivyo.Usitikisike.kwenye ndoo π₯Ή
Sishabikii mambo ya Club ila hakuna aliye mkamilifu chini ya Jua.Mungu akiombwa uende Mbinguni[Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi], Alah "miungu" ampunguzie adhabu ya kaburi, hivi huwa anasikia na anafuata matakwa yenu?
View attachment 3672411