Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliomba zone ganHabari wana jukwaa,
Naomba kufahamishwa mshahara au malipo kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.
Asante
Dar zoneUliomba zone gan
Mmh ya kweli aya laki 3?Laki 3
Uliitwa Tyr?Dar zone
Mkuu, ni kweli ajira zikitoka huwa wanachukua hawa watu wa sales ? Yani huwa inafanyika internal recruitment? Tunaomba experience yako kwa hiloDaaah. Umenikumbusha mbali sana. Hiyo ndio ilikua ajira yangu ya kwanza hapo NBC bank wakati nimemaliza Form Six 2008.
Nilipangiwa Samora branch na kulikuwa na scheme ya Group Loan kwa wafanyalazi wa Manispaa ya Ilala. Mshahara ulikia 180,000 ila commission ilikuwepo.
The good thing na hii nafasi kuwa ukimpatia mtu mkopo wateja walikua wanatoa sana tip. Kwa siku kulaza 50,000 ilikua kawaida sana
WatuambieNaomba kujua hizi kazi unapangiwa kituo maalum au unazunguka mitaani,,,(kwa upande wa benki)