Mshahara wa engineer wa halmashauri

Mshahara wa engineer wa halmashauri

AMAN32

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
110
Reaction score
55
Tafadhali eti mshahara wa engineer wa halmashaur kiasi gani?
 
Engineer wa halmashauri ni engineer Kama maengineer wengine tuu nadhani hata malipo yapo katika viwango sawa na maengineer wengine ambao wapo kwenye projects za construction, planning, designing n.k kwa sababu engineer wa halmashauri/manispaa hufanya hizo shuguli pia.
 
Si Kweli Malipo ya LGAs ni Kiduchu sana nahisi wanapata sh.950,000 kabla ya Makato Huku Engineer wa Tanroads wanapiga hata 1,500,000.
 
Najiuliza kwa nini nchi yetu mishahara ni siri bado tofauti na nchi zilizoendelea?
Wenzetu wanajua tokea grade za chini mfano daktari,mwalimu anapokea wastani wa kiasi gani kwa mwaka.
Hii inawafanya kujiandaa kukazania wanapoona kuna maslahi yanayowafaa.
Bongo mshahara unaujua unapoanza kazi..
 
Masomo magumuu

MMshahara kiduchu
Kama Engineers wengi Wa TANROADS hawakaagi Ofisini Kuzurura mtindo mmoja Night allowance yao kwa Siku ni ndefu

kuna launch allowance ambapo mwaka 2014 ilikua 10,000 kwa mwenye Degree 10,000 × siku 12
 
Si Kweli Malipo ya LGAs ni Kiduchu sana nahisi wanapata sh.950,000 kabla ya Makato Huku Engineer wa Tanroads wanapiga hata 1,500,000.
hiyo 1,500,000 haifikiihata hela anayolipa Diamond kwa Hamisa, imebaki laki tano.
 
Ahaaa ahaaa hiyo 1.5m ni kabla ya makato.Na haya makato ya bodi unaweza kwenda home na 1.1m
 
hiyo 1,500,000 haifikiihata hela anayolipa Diamond kwa Hamisa, imebaki laki tano.
Mkuu yule akienda Site allowance ni 100,000 wanakaaga hata siku 10 au 14 unashagaa analipwa 1,400,000 kama Night Allowance 150,000 kama Launch allowance bado kwenye miradi wanashirikiana na Wahandisi kupiga pesa.
 
hahaha, hiyo laki moja ni allowance ya most of ninyi wafanyakazi wa umma, hata ukikaa siku 10 bado ni hela ndogo tu mkuu. tusibishane tafadhali hebu kaa kimya!
 
Engineer wa halmashauri ni engineer Kama maengineer wengine tuu nadhani hata malipo yapo katika viwango sawa na maengineer wengine ambao wapo kwenye projects za construction, planning, designing n.k kwa sababu engineer wa halmashauri/manispaa hufanya hizo shuguli pia.

Umelielewa swali? She/he mean Eng mtumishi wa serikali anaefanya halmashauri ambae huwezi kumfananisha na Eng aliopo kwenye shirika la umma, private sector au aliejiajiri mwenyewe
Wanaojua watakusaidia
Ila nijuavyo mm may deal ndio zilkuwa zinawabeba sijui kama wanamshahara mkubwa
 
siyo kweli eng wa halmashauri hafanani mshahara na eng wa tanesco... kwa hiyo kila secta wana scale zao za mishahara
 
Umelielewa swali? She/he mean Eng mtumishi wa serikali anaefanya halmashauri ambae huwezi kumfananisha na Eng aliopo kwenye shirika la umma, private sector au aliejiajiri mwenyewe
Wanaojua watakusaidia
Ila nijuavyo mm may deal ndio zilkuwa zinawabeba sijui kama wanamshahara mkubwa
Mimi pia nina mashaka Kama umelewa maelezo yangu, Soma vizuri kwa ufasaha usikimbilie kuvamia vitu ambavyo ujavielewa vizuri.

Maenigeer wana madaraja yao ya malipo kutokana na sector walizopo kwa hiyo niliposema vile sikuangalia hayo mmashirika au sekta binafsi nimeangalia tuu Kama mtumishi wa seriakali na taaluma yake ya engineering kulingana na daraja lake lilopangwa Kama ni TGS E au TGS D.

Pia huku chini Kuna mdau alinisahihisha na nimeshukuru kwa kuniweka sawa, Sasa hapa Sijaona umuhimu wewe Kuna kuniqoute na kuandika vitu vyako mdaa wengine kabla haujakurupuka kuchangia Uzi pitia kwanza Uzi wote ndipo uanze kuvamia watu.

Pia ujifunze kutumia kiswahili sanifu, kuchanganya kingereza na kiswahili sio vizuri au kutumia vifupishi vya maneno Kama "mm" badala ya kuandika "mimi" au ungeandika "Engineer" kuliko kuandika "Eng" usingepungukiwa na chochote ila ungeeleweka zaidi.

Jioni njema.
 
Back
Top Bottom