Mshahara wa Internship private sectors upoje?

Johnyy

Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
93
Reaction score
39
wana jf,samahan mshahara kwa intern private sector upoje na je mda ukiisha unaweza update?
 
Inategemea na sehem husika. Kuna wengine hawalipi hata senti. Wengine wanatoa posho ya nauli. Kuna sehem wao wanatoa 300,000/- kwa mwezi.

Kila sehem wana taratibu zao, wengine wanachukua miezi mitatu, ikiisha unaweza kuongezewa tena mitatu ila si zaidi ya hapo. Wengine miezi sita n.k
 
Ukweli ni kwamba kampuni nyingi intern hawalipwi,kampuni chache znalipa 150,000,nyingine 300,000 mpaka 450,000 .kamouni nyingine ww ndo utalipa ili ufanye intern kwao
 
shhukrani
 
duhh kwa mda gani
 
intern halipwi ni ni huruma za bosi tu kama watakulipa
 
Wengi hawalipi, wakikuonea huruma Sana utapewa nauli.
 
Back
Top Bottom