Mmmh Mim pia nlikua na mshahara wa laki6.5 nlipoenda crdb wakanambia watanipa mil13. Apo ukiweka na riba ya marejesho itakubid ulipe mil19 na ushee. nikaona sio ishu nikachukua mkopo per month wanakata laki 3.2 kwa muda wa miaka 5.(crdb ndo walkua wanatoa ela kubwa kuliko benk nyingne)