Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu ...poleni na majukumu ya hapa na pale
Niende moja kwa moja kwenye mada..Mimi Kuna kipindi niliajiriwa Sasa mwaka Jana mwezi wa sita Mimi na jamaa zangu tukatimuliwa...nikalipwa kifuta jasho changu na ndipo nikanunua boda..
Sasa swala linakuja ni moja ...Mimi nikikaa,, kijichanganya kijiweni nikiamka mapema mpka usiku sikosi efu 30000 na kula na mafuta tayri...
Ila Kuna kazi nimepata ni ya Kila siku asubuhi Hadi usiku mshahara laki Tano.??je hapo wakuu nikimbilie wapi?
Fanya vyoteWakuu ...poleni na majukumu ya hapa na pale
Niende moja kwa moja kwenye mada..Mimi Kuna kipindi niliajiriwa Sasa mwaka Jana mwezi wa sita Mimi na jamaa zangu tukatimuliwa.
Asante mkuuOkay.
Kuamua huyo mshahara kuna matatu tu:
Moja:Je bado unataka kufanya carrier yako ya huo mshahara wa 500k, kwamba ukienda unaona utatengeneza CV ya wewe kukua na badae upande zaidi, hata kama sio kwenye nafasi za kampuni hiyo au nyingine?
Kama hilo bado lipo kichwani mwako na carrier yako unaijali, chagua hiyo mishe.
Mbili:Ikiwa kwenye hiyo 30000 kwa siku, je kwa mwezi umeshawahi kuona laki 9, au una zaidi ya laki tano mkononi, kama haujawahi, kafanye hiyo kazi...vinginevyo piga boda kaka.
Tatu:Akili yako, imefunguka vipi kutambua kwamba kuajiriwa ni matrix, ya unyonyaji? Kama bado, tafuta ukweli huu, itakurahishia kwenye kuona moja na mbili ipi ni sahihi zaidii.
Good day
Utamu wa kupitia kwenye Ac ya mtumishi, then anaitumia anabak Hana kitu akisubri mshahara mwingine, Nonsense!.Mshahara mtamu Wewe
..acha boda kifo nje nje