Washakula Wana ngojea mshahara wa mwezi wa 4 sasa hivi Serikali ipo makiniNahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
[emoji3]Tayari nimelipwa na mtumishi aliyekuwa amekopa
HahahahahaDuuuuh kwa wahindi mpaka tarehe 40.