Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Habari zenu
Naomba nipate ufafanuzi kuhusu mbunge anapochaguliwa kua waziri mshahara wake unatoka kwenye wizara aliyoteuliwa au anaendelea kulipwa na bunge?
Nawasilisha kwa ufafanuzi