Mshahara wa Mbunge anapoteuliwa kuwa Waziri!

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
631
Reaction score
592
Habari zenu
Naomba nipate ufafanuzi kuhusu mbunge anapochaguliwa kua waziri mshahara wake unatoka kwenye wizara aliyoteuliwa au anaendelea kulipwa na bunge?
Nawasilisha kwa ufafanuzi
 
both wizara and bunge vinamlipa......cz ni muajiriwa wa mihimili miwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…