Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers. Nafahamu ni negotiable, nipe range ambayo naweza kukomaa nao ukizingatia mazingira ya kazi za pale. Kama take home plus allowances haizidi shilingi m3 niambie niache hata kwenda kwenye negotiation.
pamoja sana
Wakuu najiandaa kufanya negotiation na barrick kwenye mojawapo ya migodi yao, naomba anayefahamu kuhusu masilahi yao kama vile mshahara, na allowances nyingine kwa mwezi kwa level ya managers. Nafahamu ni negotiable, nipe range ambayo naweza kukomaa nao ukizingatia mazingira ya kazi za pale. Kama take home plus allowances haizidi shilingi m3 niambie niache hata kwenda kwenye negotiation
pamoja sana
Barrick hawawezi kuondoka kwa kigezo cha sisi kukataa ajira,tena ndio tutakuwa tunawaraisishia kazi ya kuwaajiri wageni.Barrick ni moja ya wachimba madini wanaoiba sana. Unatuuliza humu jamvini ili tukupe mawazo gani wakati kwanza mie sikubaliani na wao kuwepo nchini?
KWENDA ZAKO WEE MTANZANIA MWIZI
Barrick ni moja ya wachimba madini wanaoiba sana. Unatuuliza humu jamvini ili tukupe mawazo gani wakati kwanza mie sikubaliani na wao kuwepo nchini?
KWENDA ZAKO WEE MTANZANIA MWIZI