Mshahara wa miradi ya RUWASA

RUWASA ya wapi kila mkoa kuna RUWASA
 
Zile za kujitolea ni za jumuiya ya Ruwasa au ni ruwasa wenyewe?
HAKUNA jumuiya ya ruwasa isipokuwa Kuna jumuiya ya Kijiji flani then mradi unajengwa na ruwasa wanawakabizi wanajuiya ambao wenyewe uongozi wao Ni bodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…